Habari za kwanza za Kisiwa cha Msubiji zimetokana na Wareno. Alipofika Vasco da Gama mwaka mwaka 1498 BK kisiwa kilikuwa mji wa Waswahili na Waarabu na kituo muhimu cha biashara ya kimataifa katika Bahari Hindi.
Kisiwa cha Msumbiji kiligunduliwa mwaka gani?
Ground Truth Answers: 1498Wareno
Prediction: